Mazishi ya Tob Cohen kwa picha kutoka maziara ya Wayahudi, Nairobi ▷ Kenya News

Mazishi ya Tob Cohen kwa picha kutoka maziara ya Wayahudi, Nairobi ▷ Kenya News

Marehemu anazikwa katika makaburi ya Wayahudi yaliyopo kwenye Barabara ya Wangari Maathai, Nairobi.

Habari Nyingine: Yatakayojiri wakati wa kuzikwa kwa Tob Cohen, hatua kwa hatua

Mazishi ya Tob Cohen kwa picha

Mazishi ya Tob Cohen: Picha: Nation
Source: UGC

Mke wa marehemu ambaye ni mshukiwa wa mauaji ya marehemu, wakili wake Philip Murgor na wakili waCohen Cliff Ombeta ni miongoni mwa wanaohudhuria mazishi hayo.

Habari Nyingine: Baada ya fichaficha hatimaye Tanasha athibitisha kumzalia Diamond Platnumz mtoto mvulana

Mazishi ya Tob Cohen kwa picha

Picha: Zeckky Nemwel
Source: UGC

Habari Nyingine: Mwanamume amtaliki mkewe kisiri kwa kutumia saini feki

Dada ya marehemu, Gabrielle Van Straten haudhurii mazishi kwa kwa kuwa alisafiri nje ya nchi kushughulikia masuala mengine ya dharura zaidi; lakini kaka yake Benard Cohen anashuhudia mazishi ya kaka yake.

Habari Nyingine: Sarah Wairimu aruhusiwa na mahakama kuhudhuria mazishi ya mumewe Tob Cohen

Mazishi ya Tob Cohen kwa picha

Picha: Gukena FM Kenya
Source: UGC

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos

administrator

Related Articles