Simba inaifuata Kagera Sugar Kaitaba ikiwa na kumbukumbu mbaya

Simba inaifuata Kagera Sugar Kaitaba ikiwa na kumbukumbu mbaya

Na Mwandishi Wetu kutoka Dar Es Salaam, Simba SC Alhamisi hii ya Septemba 26 2019 itakuwa ugenini katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar “Wanakurukumbi”, Simba SC wanaenda kucheza mchezo huo wakiwa wana kumbukumbu ya kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar kwa magoli  2-1 […]

The post Simba inaifuata Kagera Sugar Kaitaba ikiwa na kumbukumbu mbaya appeared first on Soka25east.

administrator

Related Articles