Ujumbe wa Rayvanny kwa bosi wake Diamond Platnumz akitumu miaka 30 ▷ Kenya News

Ujumbe wa Rayvanny kwa bosi wake Diamond Platnumz akitumu miaka 30 ▷ Kenya News

Raymond Shaban Mwakyusa almaaru Rayvanny ambaye ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva, aliye chini ya lebo kubwa ya muziki Tanzania ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz, alimwandikia bosi wake ujumbe mzito sana, wakati (Diamond) alipokuwa akiadhimisha siku ya kuzaliwa kwake.

Habari Nyingine: Magazeti ya Kenya Alhamisi, Oktoba 3: Ikulu yawaonya wanasiasa kutomtaja Rais wakiwa taabani

Ujumbe wa Rayvanny kwa bosi wake Diamond Platnumz akitumu miaka 30

Rayvanny akiwa na bosi wake Diamond Platnumz (kushoto). Alimwandikia ujume mzito wakati wa bathidei ya rais huyo wa WCB. Picha: Instagram
Source: UGC

Habari Nyingine: Sportpesa yawafuta kazi wafanyakazi wake 400 baada ya kusitisha biashara yake Kenya

Ujumbe wa Rayvanny pia uliandamana na maneno ya kumtia moyo.

Habari Nyingine: Diamond achapisha picha za mwanawe baada ya kusherekea siku ya kuzaliwa

Itakumbukwa kuwa, siku hii ndipo Diamond alipomtambulisha mwanawe mvulana waliyezaa na Mkenya, Tanasha Donnah.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsApp: 0732482690.

Subscribe to watch new videos

administrator

Related Articles